photo PUF_zpse9abf13a.gif

UJUMBE KW WAFANYA KAZI

puff records tulikuwa na kikao kinacho husu utambulisho wa wafanyakazi na tamasha.
puff tumetambulisha wafanyakazi mbalimbali watakao kuwa wanafanyakazi katika studio yetu 
pia puff tumeandaa tamasha kubwa litakalo fanyika njombe, viziwi tamasha hilo litakuwa na mambo mbalimbali kutakuwa na wageni waalikwa watakao toka sehemu mbalimbali pia kutakuwa na uzinduzi wa albam ya dada yetu adefrida wa hapahapa njombe kwaya mbalimbali zitakuwepo.

                          puff inapenda kukukalibisha sana katika tamasha letu