PUFF VIDEOS ( Njossi TYSS )
Njossi ni shule inaotambulika kwa kua na wanafunzi wengi zaidi ya wanafunzi elfu mbili katika mkoa wa Njombe. Njosi iko karibu na mji wa Njombe km 6 kutoka stendi kuu ya Njombe.
Vijana wa TYCS Njombe ni vijana wa kanisa la Roman Catholic Church, wanaompenda Mungu kwa kumtumikia kupitia vipaji vyao mbalimbali hasa uimbaji. pia wanasaidiana waokwawao kwakutatuwa matatizo mbalimbali yanaowakabili katika masomo yao.
Moja wapo ya viongozi wanaosaidiana na mualim wao kwakuendesha huduma ya uimbaji katika shule hii ya Njossi. mualimu wao ndo mtu wa pili mkono wa kushoto akifuatana na Raisi wa shule alie vaa sweta ya madoadoa.
Raisi akiwa anacheza na pamoja na wanafuzi wenzake anafurahi sana na anasema kwamba uongozi uko ndani mwake mana mara nyingi tangu awepo duniani wanampendelea wenzake kua kiongozi wao.
Baadhi ya styles walizipenda katika kuzi shoot video yao ya kwanza inaoitwa ''WAIPELEKA ROHO''
TYCS Njombe album yao inoitwa Wipeleka roho imezinduliwa 24/8/2014 katika jimbo kuu la Njombe. kwa kuitaji kazi zao wasiliana nasi kupitia barua pepe, puff.frequency@gmail.com au piga sim no.+255759700254, +255788286966
Je wewe unasubili nini? jiunge nasi Puff ni familia itakaokuonganisha na wimbaji bora wanaotikisa ulimwengu. unaitaji ushauli, maoni, au kutoa kazi yako katika viwango bora tumia P.U.F.F(Pearl United Foundation Ministry)
Tunakukaribisha kwa talifa nyingine.