photo PUF_zpse9abf13a.gif

Give your views and learn more

our dear customers today we're so grateful to visiting our site and we take this pleasure ensuring you that this week that starts on 1/9/2014 we shall give you different samples  from our studios both audio and videos, so please stay tuned on our channel always in order to be updated.
more also PUFF we shall be able to give you our news in Swahili English and Kiganda language in order to reach people in both categories enjoy PUFF services.

Puff deals with audio, video production, and promotion by marketing our customers, and as a reminder puff in the last month shared advices the company of G.T.V  some of the problems that do face the marketing of choirs, the problem of piracy, through out this you will get hints how to over come such challenges, and also  we shall need to get your views on our email about how to overcome such changes. 
Mr. Gabriel.G. Mnika the manager of G.T.V with producer Thomas on his right hand side. you will get to know more from them.
But before that please answer the following questions.
1. Have ever heard a singing group called the Heavenly chambers?
2. which country are they coming from?
3. tell us any of their songs mostly the one you love,
to give you a few hints about them this is a family choir that contains eight members but they sing in two groups of fours, four brothers and four sisters their parents are God fearing people but unfortunately their mum died till now they are singing with there father.  we shall to know them on this site.


Bingwa ni wewe

TYSS NJOSI FIRST VIDEO

PUFF VIDEOS ( Njossi TYSS )
Njossi ni shule inaotambulika kwa kua na wanafunzi wengi zaidi ya wanafunzi elfu mbili katika mkoa wa Njombe. Njosi iko karibu na mji wa Njombe km 6 kutoka stendi kuu ya Njombe.
Vijana wa TYCS Njombe ni vijana wa kanisa la Roman Catholic Church, wanaompenda Mungu kwa kumtumikia kupitia vipaji vyao mbalimbali hasa uimbaji. pia wanasaidiana waokwawao kwakutatuwa matatizo mbalimbali yanaowakabili katika masomo yao.

Moja wapo ya viongozi wanaosaidiana na mualim wao kwakuendesha huduma ya uimbaji katika shule hii ya Njossi. mualimu wao ndo mtu wa pili mkono wa kushoto akifuatana  na Raisi wa shule alie vaa sweta ya madoadoa.
Raisi akiwa anacheza na pamoja na wanafuzi wenzake anafurahi sana na anasema kwamba uongozi uko ndani mwake mana mara nyingi tangu awepo duniani wanampendelea wenzake kua kiongozi wao.

Baadhi ya styles walizipenda katika kuzi shoot video yao ya kwanza inaoitwa ''WAIPELEKA ROHO''









TYCS Njombe album yao inoitwa Wipeleka roho imezinduliwa 24/8/2014 katika jimbo kuu la Njombe. kwa kuitaji kazi zao wasiliana nasi  kupitia barua pepe, puff.frequency@gmail.com au piga sim no.+255759700254, +255788286966


Je wewe unasubili nini? jiunge nasi Puff ni familia itakaokuonganisha na wimbaji bora wanaotikisa ulimwengu. unaitaji ushauli, maoni, au kutoa kazi yako katika viwango bora tumia P.U.F.F(Pearl United Foundation Ministry)

Tunakukaribisha kwa talifa nyingine.

BONGE TAMASHA NA PUFF

PUFF MINISTRY kama tulivyokwambia kuwa puff tutakuwa na tamasha tarehe ishirini na nne. PUFF tuliandaa tamasha kubwa lililofanyika katika ukumbi wa viziwi mjini  Njombe lililo kuwa na wageni mbalimbali na wanakwaya kutoka sehemu mbalimbali,pia kulikuwa na uzinduzi wa album ya dada yetu Adefrida Mlowe aliye zindua album yake iliyotoka kwa jina la safari ya mbinguni. ni nyimbo zilizo pendwa na watu sana ewe msomaji wetu endapo utaiona na kuisikiliza utatupa maoni yako katika mtandao au kupiga simu no 0756241281/0759700254.bila kusahau PUFF RECORDS tuliandaa shindano kubwa la  kwaya mbalimbali lilikuwa ni shindano lililo burudisha sana na kama ada katika furaha hapakosi changamoto tulipata changamoto nyingi. ila tuliweza kupata washindi bora kabisa kwaya ya Hossiana inayotokea Ramadhani Njombe katika kanisa la K.K.K.T  Yeriko  ndio ilituongozea ushindi ilishika nafasi ya kwanza  kwa  81% na ilipewa furusa kubwa na studio zetu za  puff ofa hiyo ni ku record albam nzima ya audio bila malipo, na mshindi wa pili alipewa fursa ya ku record vocal bila malipo yoyote hii ni zawadi nono kutoka PUFF RECORDS.pia mgeni rasmi  alitoa fursa kubwa kwa dada Adefrida Mlowa  ofa hiyo ni  asilimia ishirini na tano ya kurecod video yake. tunapenda  kukukalibisha katika tamasha lijalo litakalo andaliwa na PUFF 
ungana nasi katika huduma zetu kupitia BLOG hii
.
    KWA MAONI na  USHAURI PIGA NAMBA HIZO HAPO  JUU

           PUFF INACHUKUA MUDA HUU KUKUSHUKURU MSOMAJI       
 WETU PIA INAPENDA UTUUNGE MKONO.
ASANTE & KARIBU

PUFF RECORDS

PUFF recods inakuletea habari ya waimbaji wanao tikisa nyanda za juu kusini Tanzania upendo choir wanakuletea album inayoitwa mwamba unao tikisa itakayo toka mwezi wa kumi na moja., katika mtandao wetu utakutana na sample za audio yao.

UJUMBE KW WAFANYA KAZI

puff records tulikuwa na kikao kinacho husu utambulisho wa wafanyakazi na tamasha.
puff tumetambulisha wafanyakazi mbalimbali watakao kuwa wanafanyakazi katika studio yetu 
pia puff tumeandaa tamasha kubwa litakalo fanyika njombe, viziwi tamasha hilo litakuwa na mambo mbalimbali kutakuwa na wageni waalikwa watakao toka sehemu mbalimbali pia kutakuwa na uzinduzi wa albam ya dada yetu adefrida wa hapahapa njombe kwaya mbalimbali zitakuwepo.

                          puff inapenda kukukalibisha sana katika tamasha letu

PUFF CONTACTS

EWE MTAZAMAJI WETU TUNAPENDA KUKUJULISHA ENDAPO UTAPENDA PUFF MEDIA PRODUCTION  WA HUSIKE KATIKA KAZI YAKO NA KUPATA MAELEZO MENGI KUHUSU STUDIO ZETU KWA MAWASILIANO OFFICE NA. +255788286966/+255759700254 AU KUTUMIA BARUA PEPE puff.frequency@gmail.com
 USISAHAU TUNATOA HUDUMA POPOTE ULIPO ( MOBILE SERVICES)

                             OFFICE ZETU KUU ZIPO NJOMBE,MJIMWEMA
                                                        
                                                     KARIBU

PUFF DIGITAL AND MOBILE RECORDING STUDIO


PUFF MEDIA PRODUCTION

PUFF MEDIA PRODUCTION 
P.U.F.F(PEARL UNITED FOUNDATION MINISTRY)
ni ministry iliosajiliwa Uganda Kwa ajili ya kufanya kazi za kuinua vipaji vya wa sanii mbalimbali.
 
Tunatoa huduma za ku Record muziki wa aina zifuatazo

                       GOSPEL(nyimbo za dini)
                       BONGO FLEVA
                       NYIMBO ZA ASILI

 KWA WALE WAKALI WA KUCHEZA  MOVIE(kuigiza)

NA MAMBO  MBALI MBALI

PUFF tuna huduma za mobile popope ulipo tunakufikia ukituhitaji
makao yetu makuu yapo Njombe Mjimwema

KWA MAWASILIANO PIGA SIMU

                 TEL:+255759700254/+255788286966.

agape

                                               
                                          AGAPE CHOIR KEWANJA S.D.A TARIME

KWAYA HII YA AGAPE IMETOA AUDIO NA VIDIO KATIKA STUDIO  ZA PUFF MEDIA PRODUCTION TAREHE 3/2/2014. ZIMETOKA NA KUSAMBAZWA SOKONI TAREHE 18/7/2014. KWA SASA ZIPO SOKONI JIPATIE NAKALA YAKO SASA