our dear customers today we're so grateful to visiting our site and we take this pleasure ensuring you that this week that starts on 1/9/2014 we shall give you different samples from our studios both audio and videos, so please stay tuned on our channel always in order to be updated.
more also PUFF we shall be able to give you our news in Swahili English and Kiganda language in order to reach people in both categories enjoy PUFF services.
Puff deals with audio, video production, and promotion by marketing our customers, and as a reminder puff in the last month shared advices the company of G.T.V some of the problems that do face the marketing of choirs, the problem of piracy, through out this you will get hints how to over come such challenges, and also we shall need to get your views on our email about how to overcome such changes.
Mr. Gabriel.G. Mnika the manager of G.T.V with producer Thomas on his right hand side. you will get to know more from them.
But before that please answer the following questions.
1. Have ever heard a singing group called the Heavenly chambers?
2. which country are they coming from?
3. tell us any of their songs mostly the one you love,
to give you a few hints about them this is a family choir that contains eight members but they sing in two groups of fours, four brothers and four sisters their parents are God fearing people but unfortunately their mum died till now they are singing with there father. we shall to know them on this site.
TYSS NJOSI FIRST VIDEO
PUFF VIDEOS ( Njossi TYSS )
Njossi ni shule inaotambulika kwa kua na wanafunzi wengi zaidi ya wanafunzi elfu mbili katika mkoa wa Njombe. Njosi iko karibu na mji wa Njombe km 6 kutoka stendi kuu ya Njombe.
Vijana wa TYCS Njombe ni vijana wa kanisa la Roman Catholic Church, wanaompenda Mungu kwa kumtumikia kupitia vipaji vyao mbalimbali hasa uimbaji. pia wanasaidiana waokwawao kwakutatuwa matatizo mbalimbali yanaowakabili katika masomo yao.
Moja wapo ya viongozi wanaosaidiana na mualim wao kwakuendesha huduma ya uimbaji katika shule hii ya Njossi. mualimu wao ndo mtu wa pili mkono wa kushoto akifuatana na Raisi wa shule alie vaa sweta ya madoadoa.
Raisi akiwa anacheza na pamoja na wanafuzi wenzake anafurahi sana na anasema kwamba uongozi uko ndani mwake mana mara nyingi tangu awepo duniani wanampendelea wenzake kua kiongozi wao.
Baadhi ya styles walizipenda katika kuzi shoot video yao ya kwanza inaoitwa ''WAIPELEKA ROHO''
TYCS Njombe album yao inoitwa Wipeleka roho imezinduliwa 24/8/2014 katika jimbo kuu la Njombe. kwa kuitaji kazi zao wasiliana nasi kupitia barua pepe, puff.frequency@gmail.com au piga sim no.+255759700254, +255788286966
Je wewe unasubili nini? jiunge nasi Puff ni familia itakaokuonganisha na wimbaji bora wanaotikisa ulimwengu. unaitaji ushauli, maoni, au kutoa kazi yako katika viwango bora tumia P.U.F.F(Pearl United Foundation Ministry)
Tunakukaribisha kwa talifa nyingine.

BONGE TAMASHA NA PUFF
PUFF MINISTRY kama tulivyokwambia kuwa puff tutakuwa na tamasha tarehe ishirini na nne. PUFF tuliandaa tamasha kubwa lililofanyika katika ukumbi wa viziwi mjini Njombe lililo kuwa na wageni mbalimbali na wanakwaya kutoka sehemu mbalimbali,pia kulikuwa na uzinduzi wa album ya dada yetu Adefrida Mlowe aliye zindua album yake iliyotoka kwa jina la safari ya mbinguni. ni nyimbo zilizo pendwa na watu sana ewe msomaji wetu endapo utaiona na kuisikiliza utatupa maoni yako katika mtandao au kupiga simu no 0756241281/0759700254.bila kusahau PUFF RECORDS tuliandaa shindano kubwa la kwaya mbalimbali lilikuwa ni shindano lililo burudisha sana na kama ada katika furaha hapakosi changamoto tulipata changamoto nyingi. ila tuliweza kupata washindi bora kabisa kwaya ya Hossiana inayotokea Ramadhani Njombe katika kanisa la K.K.K.T Yeriko ndio ilituongozea ushindi ilishika nafasi ya kwanza kwa 81% na ilipewa furusa kubwa na studio zetu za puff ofa hiyo ni ku record albam nzima ya audio bila malipo, na mshindi wa pili alipewa fursa ya ku record vocal bila malipo yoyote hii ni zawadi nono kutoka PUFF RECORDS.pia mgeni rasmi alitoa fursa kubwa kwa dada Adefrida Mlowa ofa hiyo ni asilimia ishirini na tano ya kurecod video yake. tunapenda kukukalibisha katika tamasha lijalo litakalo andaliwa na PUFF
ungana nasi katika huduma zetu kupitia BLOG hii
.
KWA MAONI na USHAURI PIGA NAMBA HIZO HAPO JUU
PUFF INACHUKUA MUDA HUU KUKUSHUKURU MSOMAJI
WETU PIA INAPENDA UTUUNGE MKONO.
ASANTE & KARIBU
PUFF RECORDS
PUFF recods inakuletea habari ya waimbaji wanao tikisa nyanda za juu kusini Tanzania upendo choir wanakuletea album inayoitwa mwamba unao tikisa itakayo toka mwezi wa kumi na moja., katika mtandao wetu utakutana na sample za audio yao.
UJUMBE KW WAFANYA KAZI
puff records tulikuwa na kikao kinacho husu utambulisho wa wafanyakazi na tamasha.
puff tumetambulisha wafanyakazi mbalimbali watakao kuwa wanafanyakazi katika studio yetu
pia puff tumeandaa tamasha kubwa litakalo fanyika njombe, viziwi tamasha hilo litakuwa na mambo mbalimbali kutakuwa na wageni waalikwa watakao toka sehemu mbalimbali pia kutakuwa na uzinduzi wa albam ya dada yetu adefrida wa hapahapa njombe kwaya mbalimbali zitakuwepo.
puff inapenda kukukalibisha sana katika tamasha letu

Subscribe to:
Posts (Atom)